jam
jam
1 n mraba, jemu. money for ~ (sl) kitu kipatikanacho bure/kwa bahati. ~- jar; ~-pot n kopo la jemu. ~ session n kupiga mziki papo kwa papo; faraguzi la muziki.jam
2 vt,vi 1 ~ (in/under/between etc) bana; banwa; shindilia. 2 ~ (on) kwama; kwamisha; funga kwa nguvu ~ on the brakes funga breki kwa nguvu. 3 songamana; rundika. 4 zuia, ingilia mawasiliano ya redio n 1 msongamano. 2 kukwama; mkwamo. 3 (sl) hali ngumu/ matata/ mashaka.