jackpot

n jumla ya fedha za kushindaniwa katika mchezo wa karata. hit the ~ kuwa na bahati, pata ushindi mkubwa.