jack

n 1 J~ (familiar form of) John. J~ Frost n jalidi. J~ in Office n kiongozi mdogo mwenye makuu/ kujikuza, mrasimu; kimangimeza. a ~ of all trades mjuaji wa kila kitu, mwenye kujaribujaribu kila kazi. before one can say J~ Robinson kufumba na kufumbua. J~ is as good as his master mtumishi na mwajiri wake wote sawasawa. 2 (colloq) mtu. every man ~ kila mtu. 3 (usu portable) jeki. 4 (in the game of bowls) mpira. 5 bendera ya meli (kuonyesha utaifa). the Union J~ Bendera ya Uingereza. ~ staff n mlingoti wa bendera kwenye meli. 6 (in a pack of playing-cards) mzungu wa tatu, ghulamu. 7 (compounds) jack-in-the-box n mwanasesere katika kasha. ~-o- lantern kitu kisichoshikika (mf. moshi, gesi); (fig) fikra za kinyozi; boga lililokatwa mfano wa uso wakati wa sherehe ya Halloween. jackrabbit n sungura mkubwa. jacktar n (old name for) baharia. vt ~ something in (sl) telekeza. ~ something up inua kwa jeki.