isolate

vt ~ (from) tenga. isolation n. isolation (from) kukaa upweke, upekee; kutenga isolation hospital/ward hospitali/wadi ya wagonjwa wa kuambukiza. isolationism n (in international affairs) siasa ya kujitenga (kutojihusisha na mambo ya nchi nyingine). isolationist n mtu aungaye mkono siasa ya kujitenga.