island

n kisiwa, kitu kifananacho na kisiwa (kwa kuwa peke yake au kuzungukwa na kitu kingine) traffic ~ kizingwa barabara: mahali katikati ya barabara pa kutenga magari. islander n mzaliwa/mkazi wa kisiwani.