irrigate

vt 1 mwagilia, nywesha. 2 jenga mabwawa/mifereji kwa ajili ya umwagiliaji. 3 osha kidonda (jeraha n.k. kwa maji yanayotiririka). irrigation n umwagiliaji, (attrib) an irrigation project mradi wa umwagiliaji.