irregular

adj 1 -si -a kawaida; -siofuata kanuni ~ attendance mahudhurio ya wasiwasi, kutohudhuria mara kwa mara. ~ troops n askari wasio wanajeshi, askari wa mgambo. 2 -siolingana; -siokuwa na taratibu. 3 (gram) -siofuata kanuni za kunyambulika, -siotabirika. n (usu pl) mwanamgambo. irregularly adv. irregularity n.