iron

n 1 chuma as hard as ~ -gumu sana; -a kama chuma. rule with a rod of ~/with an ~hand tawala kwa ukali. a man of ~ mtu mgumu; mtu asiye na huruma, mkatili. an ~ fist in a velvet glove ukatili uliofichika. strike while the ~ is hot udongo upate uli maji; samaki mkunje angali mbichi. I~ Age n (prehistoric) Enzi ya Chuma. ~ curtain n (fig) pazia la chuma, mpaka baina ya nchi zisizobadilishana habari wala biashara. ~ lung n mashine ya kuvutia hewa. ~ rations n akiba ya chakula cha dharura. 2 (esp in compounds) vifaa vya chuma. (flat) ~ n pasi fire ~s n koleo; kingoe chenye kichwa cha chuma; chombo cha kutilia chapa. have too many ~s in the fire -wa na mambo mengi ya kufanya kwa wakati mmoja. (pl) irons n pingu, minyororo 3. (compounds) ~-clad adj -liolindwa kwa chuma. ~-foundry n kiwanda cha (kukalibu) chuma. iron-grey adj, n rangi ya chuma. ~-monger n mfanyabiashara wa bidhaa za chuma. ~-mongery n biashara ya vyombo vya chuma. iron-mould n doa la kutu/wino. ~-side n askari mpanda farasi wa karne ya 17; (fig) mtu mbishi; mkaidi. ~-ware n vyombo vya chuma. ~-work n kifaa kilichotengenezwa kwa chuma k.v. reli. ~-works n (usu with sing v) kiwanda cha chuma. vt,vi piga pasi ~ out ondoa kwa kupiga pasi k.v. mikunjo; (fig) ondoa, suluhisha k.v. ugomvi. ~ing-board n ubao wa kupigia pasi.