invisible

adj -sioonekana become ~ toweka; tokomea. ~ exports/ imports n fedha inayopatikana kutokana na huduma, riba ya mtaji, utalii n.k.. ~ mending n mshono uliofichika. ~ ink n wino ambao mwandiko hauonekani mpaka karatasi ipashwe moto. invisibility n. invisibly adv.