invest

vt 1 ~ (in) wekeza, tega uchumi ~ money tega fedha (uchumi). 2 ~ in (colloq) nunua (kitu cha manufaa). 3 ~ with -pa, vika, pamba ~ with authority -pa madaraka. 4 (besiege) zunguka, zingira, fanya mazingira. investment n kitega uchumi. investor n. investiture n usimikaji/uingizaji; kuweka/kukabidhisha/kuingiza (katika kazi cheo, daraja, n.k.).