invalid

2 adj 1 -gonjwa, -sio na nguvu, -siojiweza. 2 -nayofaa kwa wagonjwa ~ chair kiti cha kiwete. vi,vt tendea kama asiyejiweza ~ somebody home achisha mtu (hasa askari) kazi kwa ugonjwa n.k.