intuit

vt,vi hisi, jua, ng'amua (kwa maono juu ya kitu). intuition n 1 (power of) kipaji/uwezo wa kuelewa/ kuhisi kitu haraka (bila kufikiria sana). 2 welewa, ujuzi (usiohitaji kufikiri/wala ushahidi) intuition as to the character of a person ujuzi (maono) juu ya tabia ya mtu (bila kuwa na sababu thabiti) have an intuition of something hisi. intuitive adj -enye kuweza kuhisi. intuitively adv.