introduce

vt 1 wasilisha. 2 ~ into/to anzisha, anza, leta. 3 ~ somebody (to somebody) tambulisha, (make acquainted) julisha. 4 ~ (into), ingiza, penyeza. introduction n 1 utambulisho, ufahamisho letter of introduction barua ya utambulisho. 2 kutambulisha (watu). 3 utangulizi. 4 (of a textbook) kitabu cha msingi (wa somo fulani). introductory adj 1 -a mwanzo; -a kuanzisha. 2 -a utambulisho.