intra-

pref forming adj -a ndani ya, katika ~cellular -a ndani ya seli ~cranial -a ndani ya fuvu la kichwa. ~ molecular adj (physics) -a ndani ya molekyula ~mural -a ndani ya (kanisa, chuo n.k.) ~muscular -a ndani ya musuli ~cuterine (med) -a katika uzazi. ~uterine device n (IUD) kitanzi, kidude cha kuzuia mimba. ~venous adj -a katika mishipa.