1adj 1 -a ndani, -a moyo, -a moyoni.2 -a siri ~ friend msiri, mwandani. be/get on ~ terms(with) somebody -wa rafiki/ mwandani wa. 3 (thorough, complete) kamili, -a -ote; -a undani ~ knowledge kujua sana. n msiri, rafiki mwema, mwandani. intimacyn 1 urafiki wa karibu sana; (euphem) ngono, kujamiiana. 2 (pl) vitendo vya kimapenzi (k.m. kukumbatiana, kupigana busu n.k.). intimatelyadv.