interval

n 1 muda/wakati baina ya matukio mawili (hasa maonyesho ya mchezo) at ~s kwa vipindi at short ~s mara kwa mara, kwa vipindi vifupi. 2 nafasi baina ya vitu/vituo viwili coconut trees planted at ~s of ten meters minazi iliyopandwa kwa nafasi ya mita kumi. 3 (music) tofauti ya sauti baina ya noti mbili.