interrupt

vt,vi 1 dakiza, chachawiza. 2 ingilia, katiza; pinga. interrupter n mtu/ kitu kinachopinga/katiza/chachawiza. interruption n madakizo, katizo, zuio, pingamizi there were many interruptions vilikuweko vipingamizi vingi.