interregnum

n kipindi ambacho mtawala mpya hajachaguliwa kushika nafasi ya mtawala wa zamani; pumziko, muda kati ya matukio mawili.