interpose

vt,vi 1 weka kizuizi, pinga (k.m. kura ya turufu). 2 ingilia kati, jitia kati; chachawiza. 3 ~ (oneself) between; ~ in -wa kati ya, -wa kiungo kati ya ~ between disputants suluhisha ugomvi; amua. interpositon n.