interpolate

vt 1 toma maneno, tia maneno (yasiyokuwamo katika kitabu, hati, maandiko) the book has been ~d kitabu kimetomwa maneno yasiyokuwamo kilipoandikwa. 2 (maths) jaza nambari zihusuzo. interpolation n.