interpellate

vt kata kauli (waziri); katiza kwa kuuliza swali (kutaka maelezo). interpellation n 1 swali, ulizo. 2 kukatiza mtu kwa maswali.