international

adj -a mataifa, -a kati/ baina ya mataifa; -a kimataifa ~ court of justice mahakama ya mataifa ~ conferences mikutano ya kimataifa ~ competitions mashindano ya kimataifa. ~ money order n hawala ya fedha ya kimataifa. the 1st/2nd/3rd ~ n vyama vitatu vya Kisoshalisti vya kimataifa vilivyoundwa mwaka 1864, 1889 na 1919. internationalism n umataifa, nadharia inayotetea maslahi ya kimataifa. internationalist n mtu anayetetea/unga mkono umataifa. internationalize vt fanya -a kimataifa, fanya mali ya mataifa. internationalization n. internationally adv. internationale n. the ~e n wimbo wa kimapinduzi wa kijamaa.