internal

adj -a ndani ~ injury maumivu ya ndani. ~ combustion n 1 mwako wa ndani. 2 -a nchi yenyewe ~ affairs mambo ya ndani ya nchi. 3 -a asili, -a moyoni. internally adv.