interlude

n 1 pumziko kati ya matukio/ vipindi viwili. 2 pumziko kati ya maonyesho mawili ya mchezo; muziki unaopigwa wakati huu. 3 nafasi kati ya sehemu za nyimbo za dini/zaburi.