interlocutor

n 1 mshiriki katika mazungumzo/majadiliano. interlocution n mazungumzo. interlocutory adj 1 -a mazungumzo. 2 (law) -a muda ~y order (decree) amri ya muda ~ y proceeding katikati ya shauri.