interject

vt chachawiza, hanikiza. interjection n kihisishi: neno la kuonyesha mshangao (k.m. ee! loo! ati! kumbe! haya! hebu! weye!).