interim

n muda, wakaa. in the ~ kwa wakati huu; katika muda/kipindi fulani cha kati, -a muda ~ order amri ya muda ~ constitution katiba ya muda.