interfere

vi 1 ~ (in something/with) (of persons) jiingiza, jitia kati, jidukiza, ingilia. 2 ~ (with) (of persons) chezea, haribu do not ~ with this machine usichezee mashine hii. 3 ~ with, (of events, circumstances etc) zuia, ingilia, pinza, katiza. interference n.