interest

n 1 moyo wa kupenda kujua/ kujifunza jambo/kitu fulani, shauku he has a considerable ~ in world news anapenda sana habari za ulimwengu he listened with great ~ alisikiliza kwa shauku kubwa. 2 mvuto, raghba a novel of great ~ riwaya ya kuvutia sana. 3 upendeleo, kitu mtu anachopenda. 4 his main ~is fashion hasa anapenda mitindo; (often pl.) faida, manufaa, maslahi public ~ manufaa ya umma it is to your ~ to build a house kujenga nyumba ni kwa faida/manufaa yako. 5 ushirika, hisa have an ~ in a company -wa na ushirika/hisa katika kampuni fulani sell one's ~ in the company uza hisa katika kampuni fulani. 6 riba the society charges five per cent ~ on a loan chama hutoza riba ya asilimia tano kwenye mkopo lend at ~ kopesha kwa riba. with ~ (fig) kwa nguvu/kiasi kikubwa zaidi return somebody's hospitality with ~ lipa ukarimu wa mtu kwa kiwango kikubwa zaidi. 7 (often pl) kikundi cha watu wenye kazi/biashara n.k. ya aina moja the industrial ~s wenye viwanda vya biashara kwa pamoja the shipping ~s maslahi ya kampuni za meli kwa pamoja. vt ~ somebody in (something) tia moyo wa kupenda, vutia, tamanisha. interested adj ~ (in) 1 -a kupenda, -a kupendelea, -a kupendezewa. 2 -liovutika, -liovutiwa, -lioshawishika/shabikia. interesting adj -a kupendeza. interestingly adv. interface n 1 eneo linalomilikiwa na sehemu mbili. 2 (fig) eneo/ kipengee kinachojitokeza katika nyanja mbalimbali.