interchange

vt 1 (of two persons etc.) badilishana (mashauri n.k.) we ~d books tulibadilishana vitabu. 2 (each of two things) badili ~ the position of two objects badili nafasi za vitu viwili. interchangeable adj -enye kubadi-lishana. n 1 badiliko; badilisho. 2 (also) ~ station stesheni ya kubadilisha njia ya kusafiri. 3 mahali pa kuingilia baraste (bila kuvuka barabara nyingine).