intent

adj 1 -enye dhamira/shauku, makini. 2 ~ on/upon something/ doing something (of persons) -a kuazimia/kudhamiria. n 1 (chiefly leg) azimio, dhamira criminal ~ dhamira ya jinai with good ~ kwa dhamiri njema. do something with ~ fanya kitu kwa kudhamiria 2 (pl) to all ~s and purposes kwa kila hali. intention n nia, kusudi, dhamira for the ~ion of kwa kusudi la, kwa nia ya. intentioned adj -enye nia well ~ioned -enye nia njema. intentional adj -a makusudi. intentionally adv kwa kudhamiria.