intellect

n 1 akili; uwezo wa kufikiri; bongo. 2 (collective sing or in pl) watu wenye akili. intellectual adj 1 -a akili, -enye akili ~ ual development ukuzi wa akili 2. -somi, -enye kupendelea taaluma. n msomi. intelligence n 1 akili intelligence test jaribio la kupima akili. intelligence quotient n kiwango cha akili. 2 habari, taarifa intelligence service/agency shirika la ujasusi/ upelelezi. intelligent adj -enye akili. intelligently adv. intelligentsia n (usu collective sing the intelligentsia) wamaizi, wasomi.