integer

n namba kamili; kitu kizima; (math) namba kamili. integral adj 1 -a lazima, muhimu (katika kamilisha kitu/jambo) the arms and legs are integral parts of a human being mikono na miguu ni sehemu muhimu za mwili wa binadamu. 2 -zima, -kamilifu. 3 (math) -a rejeo; -lio na namba kamili. integrally adv. integrate vt 1 unganisha; fungamanisha; kamilisha; changanya. 2 fanya/-wa sawa. integration n. integrity n 1 uaminifu; uadilifu; msimamo. 2 uzima, ukamilifu.