intangible

adj tatanishi, -sioweza kueleweka kwa urahisi; -sioshikika ~ ideas mawazo yasiyoshikika ~ assets (of business) mali isiyopimika (k.v. hadhi, uaminifu n.k.).