intake

n 1 kipenyo, kiingizio, mlango, mkondo. 2 idadi (iingiayo/iingizwayo katika kipindi fulani) university ~ idadi iingiayo chuo kikuu. 3 eneo lililokaushwa maji (yatokanayo na bahari n.k.).