instrument

n 1 chombo, zana, kifaa. 2 (mus) ala. 3 chombo; mtumishi. 4 (leg) hati rasmi. instrumentation n upangaji wa muziki wa ala; utengenezaji wa zana za kisayansi. instrumental adj 1 -a kutumika; -a kusaidia; -a kuhusika he was ~ al in her getting a promotion alihusika na kupanda kwake cheo. 2 -a ala ~al music mziki wa ala. instrumentalist n mpiga mziki wa ala. instrumentality n wakala, njia.