institute

institute

1 n taasisi; chuo I~ of Kiswahili Research Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili I~ of Finance Management Chuo cha Usimamizi wa Fedha.

institute

2 vt 1 anzisha, asisi ~ proceedings anzisha mashauri. 2 ~ somebody (to) teua. institution n 1 kuanzisha asasi. 2 chama, shirika; taasisi. 3 sheria/desturi/ya kawaida. 4 jumba la ustawi wa jamii (k.v. nyumba ya watoto yatima/wazee). institutional adj -a jengo la ustawi wa jamii. institutionalize rasimisha; anzisha/geuza kuwa sheria/desturi; peleka/weka mtu (yatima, kichaa n.k.) katika nyumba ya ustawi wa jamii.