installment

n sehemu, fungu (la deni, malipo, mali, maandiko, hadithi n.k.); hisa ~ system mfumo wa kubandika, mfumo wa malipo ya kidogo kidogo; pay by ~s lipa kidogo kidogo.