inside

n 1 ndani; upande wa ndani ~ out ndani nje (nje ndani) (fig) know something ~ out fahamu fika/kwa undani/barabara turn every thing ~ out pindua kila kitu kabisa. 2 sehemu ya ndani ya barabara/njia. 3 (colloq) tumbo na matumbo adj -a ndani -a (kutoka) ndani. ~ track n (in racing) njia ya ndani; (fig) kushika mpini; hali ya kufaidika an ~ job (sl) wizi wa ndani (kwa msaada wa mmoja wa wahusika/wenye mali) adv,prep 1 ndani. ~ of (colloq) katika; chini ya we cannot finish the construction ~ of two weeks hatuwezi kumaliza kujenga kwa wiki mbili. 2 (GB sl) ndani, jela. insider n 1 alwatani, mwenyeji, mjuzi wa mambo (kutokana na nafasi yake katika chama, shirika n.k). 2 wanachama.