inset

n 1 kitu kilichotiwa (ndani ya kitu kingine). 2 kipachikwa: ramani/picha ndogo iliyopigwa chapa katika ramani/picha kubwa. vt ingiza, pachika.