inquire

vt 1 uliza ~ the way uliza njia ~ how to do something uliza jinsi ya kufanya. 2 ~ about/ concerning/ upon ulizia, uliza kuhusu (jambo fulani) ~ about the accident uliza kuhusu ajali. ~ after ulizia hali (ya afya ya mtu). ~ for taka, omba (kuona). ~ into chunguza, dadisi. inquirer n mdadisi. inquiring adj dadisi. inquiringly adv. inquiry n 1 maulizo; kuuliza inquiries maulizo. 2 kutafuta habari, uchunguzi hold an inquiry into peleleza, chunguza court of inquiry (mil) mahakama ya kuchunguza mashtaka (dhidi ya mtu) preliminary inquiry uchunguzi wa awali. inquisitive adj dadisi, -a kulabizi, -enye udaku inquisitive person mdadisi, mdukizi. inquisitively adv. inquisitiveness n. inquisition n uchunguzi (agh. rasmi) the inquisition (also called the Holy Office) Mahakama ya Kanisa Katoliki ya kukomesha uasi (hasa karne ya 15 na 16). inquisitor n. inquisitorial adj.