inning

n (baseball/cricket) 1 kipindi. 2 (pl) zamu ya timu kupiga mpira; (fig) muda wa kutawala (wa chama); kipindi cha harakati za maisha. have a good ~s (colloq) -wa na maisha marefu na ya furaha.