inlay

vt (in/into/with) tia njumu/ vipambo/vipande vya mbao/metali kwenye ubapa wa kitu k.m. sakafu, mlango n.k.. n 1 njumu; vipambo; vipande vya mbao n.k.; kitu kilichotiwa njumu. 2 (dentistry) uzibaji/jino kwa dhahabu, plastiki n.k.