inland

adj 1 -a bara ~ regions mikoa ya bara. 2 -enye kupatikana ndani ya nchi. ~ Revenue n (GB) kodi ya bidhaa za ndani; (colloq) Idara ya Kodi (ya bidhaa za ndani) adv kuelekea bara.