ink

n wino. ~-bottle/pot n chupa ya wino, kidau. ~-pad n kikausho. ~ stand n kishikizo cha chupa ya wino. ~-well n kidau. vt paka/tia wino. ~ in andika kwa wino. ~ out futa kwa wino. inky adj -liopakwa wino; -eusi kama wino, -a giza sana.