initiate
vt 1 anza; anzisha. 2 ~ somebody into a group ingiza mtu katika kikundi. 3 ~ somebody into something fundisha, funda. ~ somebody into traditional customs tia mtu jandoni/unyagoni/kumbini. n mtu aliyeingizwa chamani/kundini; mtu aliyetiwa jandoni. initiation n mwanzo; kuingiza; kufundwa, kufunzwa n.k.; jando. initiator n. initiative n 1 ari, uwezo wa kuanzishia mambo/kuvumbua njia n.k.; moyo wa kujituma he has no initiative hana ari mwenyewe do something on one's own initiative fanya jambo mwenyewe have the initiative -wa na nafasi ya kuanzisha take the initiative (in doing something) anza (kufanya jambo). 2 haki, uwezo wa raia wa kutoa hoja zao nje ya bunge (kama ilivyo Uswisi).