initial

adj -a mwanzo; -a kwanza, -a awali ~ capital mtaji wa kuanzia ~ letter herufi ya kwanza; (esp pl) herufi za mwanzo za majina ya watu k.m. F.R. (for Felix Rajabu). vt tia herufi za kwanza za jina kama sahihi. initially adv.