ingratitude

n utovu wa shukrani, kutokuwa na shukrani, kutoshukuru. ingrate (arch) adj -sio na shukrani,-siofadhila. n mtu asiye na shukrani.