ingenuous

adj (formal) -sio na hila, nyofu, -kunjufu; -adilifu, kweli. ingenuously adv. ingenuousness n. ingenue n (msichana) mtulivu/mnyofu; mwanamwali (agh. katika tamthiliya).