vt athiri; vuta, shawishi. ~(on/upon)n 1 uwezo wa kuathiri/ kuvutia. 2 mvuto, ushawishi, athari. 3 uwezo (kutokana na nafasi) he used his ~ to get his wife the job alitumia uwezo wake kumpatia kazi mke wake. influentialadj -enye kuvutia, -enye kushawishi; -enye uwezo an influential person mtu mashuhuri. influentiallyadv.